.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

MUHIMBILI WALITISHA SABA SABA


Niliingia ndani ya mjengo wa muhimbili nikachiki meno na macho kwa elfu nne tu ..unafikiri ni sehemu gani unaweza kucheki macho na meno kwa buku nne tu...chezea muhimbili wewe...walitishaaaa mbaya big up kwao na sasa nakua kama na meno magumashi au la na macho waliniandikia na dawa kabisa...fika hapo acha kutembelea madanda ya misosi tu na mabakuli na nguo ..ingia sehumu muhimu kama jengo la muhimbili..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...