.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

tuzidi kumuombea dk Ulimboka


Kama ilivyo desturi yetu watanzania upendo na amani ndo nguzo yetu basi katik kipindi hiki kigumu tuzidi kuzidisha maombi yetu kwa Mungu  tukimuombea DR ULIMBOKA  apone haraka na huku wale waliotaka kumuuwa wakamate na kuchukuliwa hatua.kwa taarifa tulizozipata hali yake sasa imeanza kutengamaa kiasi basi tuzidishe maombi ili azidi kupata nafuu hatimae apone kabisa..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...