SK NETWORK
SK Network,mtandao mkubwa kuliko mitandao yote ya Blogs
Afrika Mashariki na Kati,ikiwa na blogs zaidi ya 20 (ishirini) zinazotoa huduma
mbali mbali ,SK NETWORK imekuwa kituo kikubwa
cha habari ambacho hakijawahi tokea
Afrika.Uwingi wa blogs zake na uwingi wa watazamaji wake kila siku SK network
ipata nguvu ya kukuwa na kutanuka siku hadi siku.
Ubunifu uliotukuka wa maazilishi wa SK Network ndugu Frank
Lyimo unafanya network hii kuwa network ya kwanza kutazanwa sana vijana ambao ndo chachu ya ukuaji wa
taifa lolote lile.
Sk network ilianza kazi rasm mwaka 2008.
Kuwa mdau wa sk kwa kujiunga na page yetu ya FACEBOOK ,bonyeza
hapo chini:
Pia unaweza kutupata kwenye twitter,bonyeza hapo chini:
“SK ni network kubwa kuliko network
zote Afrika”
No comments:
Post a Comment