.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

waandamaji spain wapigwa

huku maandamano yakisambaa kila kona ya ulaya kutokana na kudorora kwa uchumi wa nchi zao sasa polisi wameanza kuongeza makali ya kuzuia waandamanaji yani kibongo bongo tunasema wameanza kutandaza kipigo na kusababisha baadhi ya waandamanaji kujeruhiwa vibayaa.tukio hii limetokea leo leo na kuripotiwa na vyombo vingi ya habari duniani

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...