.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

WEMA NA WOLPER NI DROO KAVU

 LAZIMA NICHUKUWE MAKANDA HAPA ..WEMA AKIMPUMZIKIA KIMTINDO WOLPER.
KUTOKANA NA MAANDALIZI YA MABONDIA WOTE KUWA MAKALI NA YA KUFA MTUU IMESABABISHA PAMBANO LAO LA KWANZA WATOKE DRAW INGAWA TAMBO ZILIKUWA NYINGI TOKA KAMBI YA WEMA NA PIA UPANDE WA WOLPER HAKUNA ALIYEWEZA KUMPIGA WEZAKE...TUSUBIRI MARUDIANO TUONEE ...ITAKUWAJEE??

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...