.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

Eneo la wazi


Safari za wafanyabiashara ziliwezesha kugundulika kwa bara hili  la kwa mataifa ya magharibi na asia kwa ujumla wake.Bara letu lilionekana kuwa eno la wazi lisilo na miliki wenye nguvu kwa kuwa kulikuwa na makabila waliokuwa wamejitenga sana kiumbali na huku yakijishuhulisha nza shuhuli mbalimbali ikiwemo uvuvi,ufugaji na mengine kilimo basi nchi za bara la ulaya waliamua kwa dhati kushambulia bara hili kila kona na kujichumia mali zilizopo na pia walichukuwa watu wa bara hili na kwenda kuwafanyisha kazi ngumu kwenye mashamba na viwandani. Hakuna kilichokuwa si mali kwao, vyote walibeba si pembe za ndovu,watu ,madini wala bidhaa za utamaduni.Ingawa maeneo mengine walipata vizuizi  kutoka kwa makabila kadhaa yaliokuwa na vifaa vya kivita na kundi kubwa la wapiganaji lakini kwao haikuwa shida kubwa maana walikuwa wamesha jipanga sawa sawa kuvunja kizuizi chochote kile kitachokuwa kinajitokeza na kuzuia mpango yao.huku wakitengeneza ramani ya kuonyesha sehemu zenye mali ikiwemo madini na maeneo yanayofaa kwa kilimo walifanya kazii hii kwa uangalifu mkubwa.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...