.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

KILELE CHA UBEPARI NA TISHIO LA USHOGA AFRIKA



KILELE CHA UBEPARI  NA TISHIO LA USHOGA AFRIKA
Kitabu hiki kinaelezea maisha halisi ya mwananchi wa hali ya chini katika bara la Afrika,ususani chini ya ya jangwa la sahara.
Harakati zao za kujinasua katika umasikini uliokisiri?
Ni  kwa nini umasikini unazidi kuongezeka ndani ya bara letu lenye kila aina ya rasilimali?.Je ni kwa nini wanasiasa wamekuwa vigeugeu?.
Nani anayeanzisha maandamano ya ukombozi katika nchi nyingi za Africa?
·       lengo la kuleta ushoga Africa nini?
·       ni nani wa kulaumiwa katika  hili?
Kitabu hichi kimechambua kwa undani nini cha kufanya ili kujikomboa katika hili janga lilokumba bara letu la africa.
hapa tulipo sasa ni KILELE CHA UBEPARI KATIKA BARA LETU.(KILELE CHA UBINAFSI WA MALI)

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...