Hasara za kuukana ujamaa nakujitegemea
Afrika ya leo
imezalisha viongozi na watendaji wanaoteuliwa kwa wingi kuliko kuchaguliwa hili
ni zao la utengano.(ubinafsi)kumpa mtu au watu fulani madaraka makubwa ya
maamuzi pasipo na sababu yoyote ile ya msingi.hii iliwekwa na wakoloni ili
kuakisha kila anayeweka katika eneo husika anawatumikia wao hivyo basi tusije
tushangaa mikataba mbovu inapita tu kwa watu hawa ambao ni weusi ngozi ila roho
zao ni zaidi ya tip tip aliyekuwa naingoza msafara wa watumwa.
Watu wanataka uraia wa
nchi mbili kwa kisingizio cha kutuma pesa nchini kwao.(zao la umimi)tujiulize
wewe una mama yako na unataka uwe na mababa wawili wa kazi gan?na wengi
wanaotaka hili ni wale wenye uwezo na elimu ndipo utapoona madhara ya elimu hii
na ustarabu wao unapoteza kizazi chetu.
Kumiliki mali
unayoshindwa hata kuiendeesha na kuisimamia.magoru yazidi viwanda na mashamba
ya ujamaa yaliyouliwa na wabinafsi wanashindwa hata kuyaendesha wanachapa fimbo
ndugu zetu wanaenda kujipatia riziki kwenye mapori hayo sasa tujiulize ni nani
aliyewapa jeuri hawa kuwachapa fimbo waafrika wenzao.
Ongezeko kubwa la
madeni ya nje.
Uchumi kushuka na
utofauti kati ya masikini na tajiri kuongezeka sana.
Ardhi kumilikiwa na
wachache.
Maandamano yasiyoisha.
Hospitali kukosa madawa.
Dini kuongezeka.
Elimu kushuka thamani.
Wasomi kupenda semina
kuliko kufanya kazi.
Viongozi kupenda ziara
kuliko kutumikia wananchi.
Viongozi kunyamaza
kimya mpaka kwenye mambo makubwa yahusuyo usitawi wa nchi.
Maliasili kuchukuliwa
hadharani
Viongozi kuongoza
walinzi wa kuwalinda.
Na nyingine nyingi>