.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

Nani alileta siasa?


Nani alileta siasa?
Baada ya kupita miaka kadhaa ya waafrika ya kushambulia makazi ya wazungu na shinikizo kutoka kwa waafrika waishi ughaibuni  pia uwepo wa waafrika wenye elimu ya kupambanua mambo.Waafrika hao walikuwa wamepata elimu kutoka kwenye shule za wakoloni.harakati za kujikomboa zilianza katika afrika taratibu na ndipo hapo nchi za afrika zikaanza kujipatia uhuru wao kutoka kwa wakoloni taratibu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...