.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

Afrika ijitawalaje?


Afrika ijitawalaje?
Hili ndilo swali walilojiuliza je?na nani awe kiongozi wao basi? hawa watu wajitawale maeneo yapi?jibu likawa rahisi sasa na kwa kuwa sisi shida yetu ni mali acha hawa wajitawale maeneo mengine yote lakini sio mali, mali zote ziwe chini yetu mpaka mwisho wa sayari huu ndo ulikuwa msimamo wa mabepari tangu kale mpaka sasa na hadi mwisho wa dunia hii si dhani kama utabadilika.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...