Kutokana na kukuwa na
kusitawi kwa mataifa ya mangaribi hitaji kubwa la rasilimali liliongezeka
nakufanya kuwepo kwa vita vya kwanza na vya pili vya dunia vilikuwa vikionyesha
wazi ukuwaji wa ubepari katika maeneo yao.tukumbuke kuwa kipindi chote hicho
jamii ya wanyonge ya nchi zilizoendelia
kiuchumi waliweka jitihada za dhati za kuutokomeza ubepari huu ambao kwa awali
ulionekana kuwaadhi sana waafrika weusi ambao walienda kama watumwa kufanya
kazi katika viwanda na mashamba makumbwa.Kipindi chote hicho waupe hawakuona
athari kubwa ya ubepari katika maeneo yao kwa kuwa mabepari walikuwa wanawapa
motisha zaidi ya wale watu weusi kutoka Afrika.