madam rita akiwa fit li mbaya kuingia mizigoni.....mwanza epic nation bongo star search
CHEZEA SALAMA...AKIWAKILISHA FITI MBAYA 10/10 MBEYA MPO ANAKUJA BIDADA.
CHEZEEA MTOKO..AKISIKILIZA NA KUHAMAKI KIDOGO BAADA YA MANENO KUTOKA KWA MAJAJI
PERESHA INAPANDA INASHUKA ..KWELI USAILI ULINONGA MWANZA
COCA ZA BURE KAMA KAWA KWA VIJANA WAKISUBIRI KUSAHILIWA..UTAMU WA COCA NADHANI UNAUWELEWA UNAVYOWEZA KUKURUDISHA KWENYE MUDII
WAKIJIPONGEZA BAADA YA KUMALIZA KU SAILI WATU 1500 KATI YA 2500 WALIOJITOKEZA....KAA NASI TUKULETEE YATAKAYOJIRI MBEYA WIKEND HII