.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

Je ubepari ulianzia wapi?



Tutambue kuwa ubepari huanza kwa hatua hiyo basi historia inaonyesha kuwa toka aumbwe Adamu na Eva hapo ndipo ubepari ulipoaza ukiwa na sura ya ubinafsi(maana ubinafsi ni mtoto wa ubepari).Adamu na Eva walipewa dunia waitawale na wafaidi kila kitu kilichopo ndani ya dunia hii mto,maziwa ,asali ,matunda, majani na kadhalika.
Adamu na Eva alijua kabisa bosi wao ni Mungu aliye juu mmiliki wa mali zote walizokabiziwa wazitumie mpaka pumzi yao pia ilikuwa ni mali yake.
Adamu na Eva  walingizwa kishawishini na shetani wamsaliti Mungu na kubinafsisha mali zake zote walizokabiziwa na wazimiliki wao kwa ushirikiano na shetani mkuu wa kuzinu.
Kutokana na hilo bwana Mungu alichukiza na ile hali na kuamua kuwatupa nje ya ile bustani ya edeni na kuwaacha wakahajitafutie wenyewe chakula na mahitaji yao ya kila siku.
Katika hali hii basi tutaona kuwa mwenyekiti wa ubepari duniani ni SHETANI.
Maana ndiye muanzilishi waubepari duniani toka enzi za Adamu na Eva ni yeye aliyewapa ujasiri wakina Adamu na Eva waukubali ubinafsi na kuachana na mpango wa Mungu ulikuwa unaweka umoja wa kila kitu.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...