je wewe ni fundi furniture au una show room ya furniture wakati wako ndo huu..leta picha zako na maelekezo tukuunganishe na wateja moja kwa moja..
SK NETWORK ,HOME OF FASHION,NYUMBA KUBWA YA FASHION EAST AFRIKA.,SEX,SWEET,HOT,FREESTYLE,ALL COLOUR,95%,VIWALO,WAREMBO,SUPERSTAR,WAZURI TU.
duka la spare
kama una duka la spare popote pale ndani ya tanzania akikisha unatutumia picha zako na maelekezo lilipo tukuunganishe na wateja moja kwa moja...
tiketi za meli
tunawakaribisha makampuni yote ya meli kutangaza nasi...........hii ni meli ya azam inayobeba abiria na mizigo kwa pamoja.
serena hotel
zamani movenpick hotel...kwa wazee wa matumizi nadhani mnapapata vizuri tu hapa sehemu tulivu.ya marahaa ... je una bar ,lodge,guest house au motel..leta picha tu share hapaaa... sasa.
nyumba ya kupangisha
je una nyumba au vyumba vya kupangisha au wewe ni dalali usisite leta picha zako au maelezo yako uwafikie mamia kwa maelfu ya watazamaji wetu..
vifaa vya ujenzi
tangaza duka lako la vifaa vya ujezi nasi sasa...popote pale ulipo tanzania ...wasiliana nasi e-mail sokonikariakoo@gmail.com.
duka la vyombo vya jikoni
je una duka vifaa vya jikoni.....leta picha zako fasta na maelekezo lilipo tuweze ku connect na maelfu ya watejaa ....changamka biashara matangazo ....e-mail sokonikariakoo.blogspot.com
show room
je una show room ya magari...leta picha na maelekezo yaote kwetu tuku connect na wanunuzi sasa....e-mail us sokonikariakoo@gmail.com
NEW STYLE & DESIGNS.....@DORIS FASHIONS
YESSSS NI HAO HAO
DORIS FASHIONS
WAMESHUSHA DESIGN NA STYLE MPYA ZA FUNGA NA KUFUNGUA MWAKA.....WAMETAMBULISHA VIVAZI VYA MA -MAIDS,NGUO YA SENDOFF NA KITCHEN PARTY NA ZA RECEPTION ZA BI HARUSI BILA YA KUSAHAU YA MAMA,DADA,MASHANGAZI NA WANAKAMATI PAMOJA NA WAALIKWA
WACHUNGULIE KAZI ZAO ZILIZOPITA
WANAPATIKANA::MIKOCHENI JUNTION ROSE GARDEN/TWIGA ROAD
NEW ARRIVALS @ BRILLANTE MENS BOUTIQUE
NIBRILLANTE MENS BOUTIQUE
MAY FAIR PLAZA
AMBAPO SASA HIVI WAMESHUSHA MZIGOOO MPYAA TOKA
ITALY......UTURUKI....NA MAREKANI.....
NI MWENDO WA SUTI, MASHATI,JEANS,TSHIRT,LINEN,RABA ZA UKWE'E KUTOKA MAREKANI YENYE CHATA ZA UKWE'E MBALI KUNA SANDOZ ZA NGUVUUU MAMBO YA WIKI END (unaacha vidole vipunge upepo)
WANAPATIKANA::MIKOCHENI,JENGO LA MAY FAIR PLAZA
WASILIANA NAO::+255 652 222324
EMAIL::briliantewear@gmail.com
BREAK NEWS:DOKTA ULIMBOKA APIGWA NA YUKO MAHUTUTI
SAKATA LA MADAKTARI LAZIDI KUWA KUBWA BAADA YA WATU WASIJULIKANA KUMKATA DOKTA ULIMBOKA NA KUMPIGA NUSURA YA KUMUUA NA KWENDA KUMTELEKEZA MAENEO YA MWANGEPANDE ...WATU HAO WALIOKUWA WAKIMLAUMU DOKTA HUYO KWA KUWASUMBUA NA KUUPA KAMA WANGEKUWA NA SINDANO YA SUMU WANGEMPIGA AFEE...WALIMCHUKA NA GARI LILIKUWA HALINA NAMBA NA KUFUNIKA KITAMBAA NA KUMPA KIPIGO KITAKATIFU NA KWENDA KUMTUPA HUKO MWANGWEPANDE ...KWA SASA YUPO MOI AKIPIMWA NA MADAKTARI WEZAKE ...KA NASI TUKUABARISHEEEE.......................(habari hii ni kwa hisani ya radio EA AFRIKA )
SHUKRANI KUTOKA SK-NETWORK
SK-NETWORK ni
mtandao bora na wa kisasa unaomilikiwa na vipeperushi company .kampuni
inayohusika na utoaji na usambazaji wa vijarida vya matangazo nchini Tanzania
inawatangazia umma wa watanzania kuwa wako katika hatua za mwisho za kubora
huduma zao za matangazo ya hewani na nchi kavu(usambazaji wa vijarida)kuwa ya
kisasa na kuwafikia watanzania milioni 1 ndani na nje ya nchi yetu.Hivyo basi
tunafuraha kubwa kuwataarifu watazamaji wa blog zetu kuwa tunaendelea kukuwa na kwa sasa
tunatazamwa na watu wengi kutoka ndani na nje ya mpaka yetu.Tunakushukuru wewe
mtazamaji wetu kwa kuchukuwa muda wako kuwaambia jamaa,ndugu,marafiki nawapendwa wako kuhusu
mtandao wetu na jinsi ya kuupata ili nao
waweze kupata habari na kuhabarika kwa haraka.Ili adhima yetu iweze kutimia ya
kuwafikiwa watanzania milioni 1kwa siku. Tunakuomba uendelee kuwataafifu na
jamaa wengine ambao kwa namna moja au nyingine hawajafikiwa na taarifa kuhusu SK-NEWORK.
Kumbuka
kwa sasa SK-NETWORK inatoa ofa ya
kutangaza bure kwenye blog yake ya masokoni.blogspot.com.changamkia fursa hii
sasa kabla ofa haijaisha.
Eneo la wazi
Safari za
wafanyabiashara ziliwezesha kugundulika kwa bara hili la kwa mataifa ya magharibi na asia kwa
ujumla wake.Bara letu lilionekana kuwa eno la wazi lisilo na miliki wenye nguvu
kwa kuwa kulikuwa na makabila waliokuwa wamejitenga sana kiumbali na huku
yakijishuhulisha nza shuhuli mbalimbali ikiwemo uvuvi,ufugaji na mengine kilimo
basi nchi za bara la ulaya waliamua kwa dhati kushambulia bara hili kila kona
na kujichumia mali zilizopo na pia walichukuwa watu wa bara hili na kwenda
kuwafanyisha kazi ngumu kwenye mashamba na viwandani. Hakuna kilichokuwa si
mali kwao, vyote walibeba si pembe za ndovu,watu ,madini wala bidhaa za
utamaduni.Ingawa maeneo mengine walipata vizuizi kutoka kwa makabila kadhaa yaliokuwa na vifaa
vya kivita na kundi kubwa la wapiganaji lakini kwao haikuwa shida kubwa maana
walikuwa wamesha jipanga sawa sawa kuvunja kizuizi chochote kile kitachokuwa
kinajitokeza na kuzuia mpango yao.huku wakitengeneza ramani ya kuonyesha sehemu
zenye mali ikiwemo madini na maeneo yanayofaa kwa kilimo walifanya kazii hii
kwa uangalifu mkubwa.
Je dhumuni la ubepari ni nini?
Katika hali ya kawaida
tunaona kuwa dhumuni kubwa la ubepari dunia
ni uuwaji,nikimaanisha kuwa shetani alikuwa anaamini kuwa pindi adamu na
eva watapomsaliti mungu basi mungu atawaacha wapweke na kwa sababu ya mateso na
masumbuko ya dunia watu hawa watashindwa kusitahimili mateso hayo na kufa na
kuacha mali zote chini ya hima yake muovu shetani.
Imani ya shetani
ilikuwa kuu akiamini kuwa hata kama wataweza kuzaa na kuongezeka basi kizazi
watachokizaa watakirisisha dhambi kuu ya ubinafsi ambayo ni kitovu cha ubepari na
mwisho wa nyakati watauana wenyewe kwa wenyewe wakigombania malisho na chakula.
Je ubepari ulianzia wapi?
Tutambue kuwa ubepari
huanza kwa hatua hiyo basi historia inaonyesha kuwa toka aumbwe Adamu na Eva
hapo ndipo ubepari ulipoaza ukiwa na sura ya ubinafsi(maana ubinafsi ni mtoto
wa ubepari).Adamu na Eva walipewa dunia waitawale na wafaidi kila kitu
kilichopo ndani ya dunia hii mto,maziwa ,asali ,matunda, majani na kadhalika.
Adamu na Eva alijua
kabisa bosi wao ni Mungu aliye juu mmiliki wa mali zote walizokabiziwa wazitumie
mpaka pumzi yao pia ilikuwa ni mali yake.
Adamu na Eva walingizwa kishawishini na shetani wamsaliti
Mungu na kubinafsisha mali zake zote walizokabiziwa na wazimiliki wao kwa
ushirikiano na shetani mkuu wa kuzinu.
Kutokana na hilo bwana
Mungu alichukiza na ile hali na kuamua kuwatupa nje ya ile bustani ya edeni na
kuwaacha wakahajitafutie wenyewe chakula na mahitaji yao ya kila siku.
Katika hali hii basi
tutaona kuwa mwenyekiti wa ubepari duniani ni SHETANI.
Maana ndiye muanzilishi
waubepari duniani toka enzi za Adamu na Eva ni yeye aliyewapa ujasiri wakina
Adamu na Eva waukubali ubinafsi na kuachana na mpango wa Mungu ulikuwa unaweka
umoja wa kila kitu.
UTANGULIZI
Tujikumbushe kwanza
Africa ilitoka wapi ?Africa kama mabara mengine dunia lilikuwa bara lenye wananchi wanaojiongoza
kwa mila na desturi za makabila yao.Hii
ikimaanisha kuwa sheria na taaratibu za kuishi zilizingatia sana mila na
desturi hiyo basi kila ukoo ulifanya kila mbinu ili uweze kukubalika katika
kabila husika na waweze kupewa uongozi wa kabila husika,hali hii ilifanya kupatikana
kwa ukoo zenye nguvu ya kutawala na kutoa maamuzi mazito kuhusu makabila
husika.
Katika hali hii iliongeza ubunifu hasa katika
maeneo ya uzalishaji wa mazao na vifaa vya kivita na mafunzo ya kijeshi.hii
ilisaidia sana ukuwaji wa maeneo na kusababisha koo na makabila mengine madogo
madogo kufa kwa sababu ya kushindwa
kivita na mali zao walizokuwa wakimiliki kupokonywa na makabila hayo
yakageuka vibaraka wa makabila yale makubwa.
Makabila mengi
yalipotea nakutofahamika tena kwenye uso wa dunia kutokana na sababu hizo na
mengine yaliweka makazi kwenye maeneo yenye wanyama wakali ,mafuriko na wadudu
waambukizao maradhi na wakashambuliwa na
magonjwa,wanyama wakali na mafuriko na
kuisha taratibu baada ya kuanza kutawanyika kukimbia majanga hayo.
KILELE CHA UBEPARI NA TISHIO LA USHOGA AFRIKA
KILELE CHA UBEPARI NA TISHIO LA USHOGA AFRIKA
Kitabu hiki kinaelezea
maisha halisi ya mwananchi wa hali ya chini katika bara la Afrika,ususani chini
ya ya jangwa la sahara.
Harakati
zao za kujinasua katika umasikini uliokisiri?
Ni kwa nini umasikini unazidi kuongezeka ndani
ya bara letu lenye kila aina ya rasilimali?.Je ni kwa nini wanasiasa wamekuwa
vigeugeu?.
Nani anayeanzisha
maandamano ya ukombozi katika nchi nyingi za Africa?
·
lengo la kuleta ushoga Africa nini?
·
ni nani wa kulaumiwa katika hili?
Kitabu hichi
kimechambua kwa undani nini cha kufanya ili kujikomboa katika hili janga
lilokumba bara letu la africa.
hapa tulipo sasa ni
KILELE CHA UBEPARI KATIKA BARA LETU.(KILELE CHA UBINAFSI WA MALI)
Subscribe to:
Comments (Atom)

.jpg)



















.gif)

